Nisha aweka wazi kuwa kwa Baraka the price amefuata penzi, si pesa


Nisha aweka wazi kuwa kwa Baraka the price amefuata penzi, si pesa

 

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha' amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.
Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na 'kumbemenda' lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.
"Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na 'serengeti boy' mkaelewana hivyo mimi sioni tatizo kuwa naye na ninampenda hatari," alisema Nisha.


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>