Party ya Amanda Poshy, Walishana Keki Kwa Mdomo..Watu Wahoji Kama ni...


Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.
Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: "Ilikuwa ni siku muhimu sana kwangu na nilifarijika kuona wasanii wengi kama vile Riyama, Esha Buheti, Wastara na wengineo wamejitokeza kufurahi na mimi. Ila kulishana keki vile ni staili ya kinjiwanjiwa, hahaaa!"
Picha: amanda' akimlisha keki rafiki yake, 'wastara, jionee zaidi hapo juu
PICHA ZAIDI BOFYA HAPAA
Comments
Post a Comment