AIBU SANA:WAMWAGA RADHI MBELE YA MKUU WA MKOA



AIBU SANA:WAMWAGA RADHI MBELE YA MKUU WA MKOA
Mwanamama aliyesadikika kuwa shabiki wa African Sport akionesha mavituzi baada ya timu yake kupanda daraja la kwanza.
Laana kubwa! Achana na muda wa tukio lenyewe, lakini ni jambo la kufurahisha katika ulimwengu wa soka, na kama kawaida ya Tanzania One blogspot kukupa matukio ya kuvunja mbavu na kukuondolea stress za siku.
Timu ya African Sport maaarufu kama 'Wanakimanumanu' ya mkoani Tanga, inaingia katika kategori ya timu zenye mashabiki wa mbwembwe nyingi uwanjani, baada ya kunasa matukio ya ajabu ambayo hayazoeleka kwenye soka, kwa kumwaga radhi mbele ya 'rais wa mkoa'.
Achana na mbwembwe zao msimu huu, msimu uliopita ilikuwa balaa kwa timu hiyo wakati ikipanda daraja la kwanza, baada ya majimama kufanya vitendo visivyo na heshima mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (sasa ni mkuu wa mkoa Manyara).
Timu hiyo kwa sasa imefanikiwa kupanda ligi kuu msimu ujao, baada ya kuibuka kidedea katika Ligi Daraja la Kwanza, lakini pia keshokutwa Ijumaa ikitarajia kumeanyana na matajiri wa Shinyanga, Mwadui FC katika kusaka bingwa wa ligi hiyo msimu huu.
African Sport ina wachezaji wenye uzoefu na ligi kuu, Ally Shiboli straika wa zamani wa Simba na kipa wa zamani wa Yanga, Yusuf Abdul.



Mkuu wa Mkoa wa Moro Joel Bendera (enzi hizo) akifuatilia matukio uwanjani Jamhuri Moro.
 





Nimwage nisimwageee???.. jimama likiserebuka kushangilia kupanda kwa African Sport.
Wa kumwaga radhi, akimwaga machozi ya furaha baada ya African Sport kupanda daraja la kwanza.








PICHA HIZI NI KWA HISANI YA SHEKIDELE BLOG


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>