HAYA NDIO BAADHI YA MADUDU WANATOFANYAGA WATOTO WA VYUO VIKUU HAPA NCHINI!! JIONEE


HAYA NDIO BAADHI YA MADUDU WANATOFANYAGA WATOTO WA VYUO VIKUU HAPA NCHINI!! JIONEE

Suala la Kupata elimu limekuwa ni moja ya kipaumbele katika serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania na imejitahidi kufanikisha hilo katika kila pande za nchi walau kuweka elimu ya chuo kama sio cha ufundi basi ni kikuu kabisa na tena hata kama hakipo mkoani basi kitakuwa kwenye kanda husika aidha ya kati, pwani , kusini n.k
Idadi ya wasomi imeongezeka na wahitimu wanao lia ajira kila kukicha nayo ikikua na kuleta adha kubwa kwa watunga sera za nchi kufikiri namna ya kulitatua tatizo hilo. Katika pepesa pepesa za team maadili ya michepuko ndipo ikafanya tafiti kupima vilio vya wasomi hawa ambao kila kukicha wana mahitaji muhimu kama fedha za kujikimu kwa vitendea kazi kama vitabu, malazi, chakula na hata matibabu ndipo ikagundua lile suala la mgao wa fedha za kujikimu a.k.a BUMU halitoshi kulingana na changamoto za maisha za vijana hawa hususani na kupanda  kwa gharama za maisha kwa sasa.
ALAHAULA KUMBE NDIO HAYA!!!
katika kutimiza tafiti team michepuko haikuishia kuangalia matumizi mama tu yaani basic needs kwa kimombo bali ikagundua kinacholeta tabu kubwaa kwa wanazuoni wetu hawa pia ni pamoja na burudani na mambo ya kileo ambayo vijana wa rika hili la 20's huita BATA BATANI, duuuu aisee hilo bata huliwa wa kweli kiasi kwamba hili hapa kwenye picha ni moja ya tukio lililofumaniwa katika chuo kimoja katika viunga vya mwanza hapa kanda ya ziwa katika chuo maarufu na kinachomilikiwa na shirika la dini duuuuh hatari jioneee!!




Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>