VIDEO: HIVI NDIVYO ERIC OMONDI ALIVYOIRUDIA NYIMBO YOTE YA DIAMOND PLATNUMZ- NASEMA NAWE



VIDEO: HIVI NDIVYO ERIC OMONDI ALIVYOIRUDIA NYIMBO YOTE YA DIAMOND PLATNUMZ- NASEMA NAWE
ERICO
Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa 'Nasema Nawe' ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita 'Nabeba Mawe'.


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>