AIBU WASANII WANASWA KWA UFUSKA
Tukio la uchafu huo unaotia kichefuchefu cha 'mimba changa', lilinaswa na 'kiona mbali' cha gazeti hili namba moja kwa skendo na ufuska wa wasanii, waigizaji na mastaa mwishoni mwa wiki iliyopita maeneo ya Sinza-Legho jijini Dar na kuzua mshangao mkubwa.
Kitendo cha wasanii hao kufanya uchafu huo kisa ulevi, kilikatishwa na mmoja wa wahudumu wa baa hiyo.
"Jamani nilipeni hela yangu na muondoke hapa," alisikika mhudumu huyo aliyekerwa na vitendo vichafu vya wasanii hao.
Comments
Post a Comment