PICHA ZA LULU ZENYE UTATA AMBAZO ZILIKUWA GUMZO KWENYE MITANDAO ...
Hivi karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo akiwa katika chumba ambacho kinaonekana ni gest, hata hivyo haijajulikana kama ni kipande cha filamu au vip, mpaka tunaingia mitamboni jitihada za kumpata LULU hili amalize utata ziligonga mwamba
<<<<NEXT 1>>>><<<<NEXT 2>>>><<<<NEXT 3<<<< |
Comments
Post a Comment