Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polisi Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani

Kwa Mara ya Kwanza no Mabomu Maandamano yasio Rasmi ya Chadema, Barabara zafungwa, Polisi Watia Doria Kila Kona Kuhakikisha Kuna Amani
Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisisiemu lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale mmoja wa watia nia wa chama cha upinzani Edward lowassa alipoenda kwa maandamano ofisi za chadema kuchukua fomu na baadae kwenda mpaka ofisini kwake mikocheni bila mabomu huku baadhi ya barabara zikilazimika kufungwa.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>