50 CENT AKUMBANA NA KASHFA YA KUMBAKA DEMU WA RICK ROSS


50 CENT AKUMBANA NA KASHFA YA KUMBAKA DEMU WA RICK ROSS

NGULI wa muziki wa Hiphop nchini Marekani, 50 Cent, ameingia katika kashfa baada ya mwanamke aliyezaa na Rick Ross, kudai alitaka kumbaka.
Mrembo huyo Shonti, alisema kwamba 50 Cent alimfuata na kumtongoza ambapo hakumkubali akamkodia wahuni ili wafanikishe kumbaka ikashindikana.
Aliongeza kusema kuwa, msanii huyo alipoona jaribio lake la aibu limekwama, alihamia pia kumtongoza shoga yake ambaye nae alimtolea nje.
"Nadhani hawa wasanii wakubwa wanafikiri kila mwanamke anaweza kujishusha thamani kwao na kuwatekelezea wanayoyataka ili wajisifu kwa rafiki zao," alisema.


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>