JOKATE KIDOTI AELEZA SIRI YA UZURI WAKE.



JOKATE KIDOTI AELEZA SIRI YA UZURI WAKE. Staa mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo. STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jokate Mwegelo amefungukia uzuri wake kuwa haumpi kiwewe na hata siku moja hawezi kuonekana kwenye jamii kama mtu anayejisikia ama mwenye dharau.
Akibonyeza udaku na kona ya Bongo Movies, Jokate ambaye ni mwanamitindo pia muigizaji alisema kuwa hakuna mwanamke mbaya duniani na kwamba hata ukimchukua mwanamke mchafu ukampendezesha ataonekana bora tu.
"Kwanza mimi siyo mtu wa kujisikia, nampenda kila mwanamke mwenzangu, naamini hakuna mwanamke mbaya ni namna tu anavyotaka kujiweka," alisema Jokate.


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU WAKIVUNJA AMRI YA 6 NYUMA YA DARASA>>VIDEO HII HAPA>>