Mwanamuziki Ali Kiba Anaenda Kuzimika Kama Mshumaa Katikati ya Pepo Kali.....
Chakushangaza nimeona Mashabiki wa Kiba Wakimtumbua majipu ile mbayaaaa... Sikujua kama kiba ana majipu yaliyoiva kiasi icho.... Wengine wamediriki kumwambia kama asipo jirekebisha wanahamisha nguvu kwa Rich Mavoko na wasanii wengine maana anayesukumwa hataki kwenda ana madharau na nyodo zakujiona ata akikaa kimyaa atabaki kuonekana juu siku zote kutokana na fans alonao
Asa nachoona apo Kiba itamcost maana vilio vile havitaenda bure atakumbuka shuka kumekucha
Lakini kama vile kiba alikua kashaa staafu Mziki ila analazimishwa na pampu za mashabiki na kwasaabu ataki kukubali defeat inamgarimu kuendana na kasi iliyopo ilihali hana pesa wala uwezo so anapata pressure za mashabiki pamoja na kejeli za haters wake, ukijumlisha stress zauchumi pamoja na mahitaji ya watoto shule na shida za familia, namuona jamaa kwingine...
Kama Namuona Anataman kutangaza kastaafu Mziki ila anaogopa kejeli
Baadhi ya Comments za Mashabiki wa Ali Kiba
Jnayma
mm naomba umulize mbona anazembea saana kwenda na kasi ya mziki ulivyo?mm kama shabik ake naumia saana @thesporahshow
Steve_octotz
Jamani mwambie alikiba aachie ngoma video ya nagharamia haiwezi kuzima moto unaoendelea bongo kwa sasa aachie bonge la ngoma Pamoja na video yake alaf namuomba ajalibu kuwa na njaa kwenye muziki
bern_bizzy
Tumechoka mashabiki hatusikilizwi why mimi atakula siwezi
Waishucom55_jr
Muulize Kwa nini alipaniki sana swali aliyo ulizwa na Ben pol kwenye Twitter ?
paulgenious
@thesporahshow mwambie aache uongo mungu hapend kutwa kutuahidi uongo tu mara bampa to bampa mara cjui nn wakat hewa tupu...!! @officialalikiba kama umefika ukingoni funguka jamaa tujue 1
officialfestomumba
Tatizo la Alikiba ni kwenda na wakati, kuchelewa kutoa nyimbo, ubora Wa video, na ubunifu ktk kazi zake . Akijirekebisha hayo basi Kiba atakuwa next level 100%
duwly_abdwly
Anachiaa lin nyimboo,,Ebu tusaidiee kumuliza...Koz tUNAKARIBIA Kukata tamaa..Wenzake kina diamond,ommy dimpoz,mwana fa, wanachia nyimo kalii yy mzgo unakuja lin..Au kalogwa.
Comments
Post a Comment